Year: 2024
Serikali kutumia bilioni 841.19 ujenzi wa barabara za wilaya
Na Catherine Sungura, JamhuriMedia, Dodoma Katika mwaka 2024/25, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imepanga kutumia shilingi bilioni 841.19 kwa ajili ya ujenzi, matengenezo na ukarabati wa miundombinu ya barabara za wilaya. Kati ya fedha hizo shilingi bilioni 257.03 ni za…
Daktari jela miaka miwili kwa kumwomba rushwa mgonjwa
Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Nzega Mahakama ya Hakimu Mfawidhi Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora, imemhukumu kifungo cha miaka miwili jela daktari wa hospitali ya Mji Mdogo wa Nzega Daudi Hashim Msokwa (29) kwa kosa la kumwomba rushwa mgonjwa aliyekuwa akitibiwa…
Kikwete awaasa vijana kuwa chachu ya utengamano wa kikanda Jumuiya ya Afrika Mashariki
Na Mwandishi Maalumu, Kampala Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amewaasa vijana wa nchi zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki kuwa chachu ya utengamano katika Jumuiya hiyo kwa hatua zilizobakia za Umoja wa Kifedha na Shirikisho la Kisiasa. Ameyasema hayo katika mkutano mkuu…
Tanzania yahimiza ushirikiano nchi za SADC katika usimamizi wa misitu ya miombo
Serikali ya Tanzania imezihimiza nchi za ukanda wa SADC kushirikiana katika usimamizi wa Misitu ya Miombo kutokana na umuhimu wake kiuchumi, kijamii na katika uhifadhi mazingira. Kauli hiyo imetolewa leo Aprili 17,2024 na Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah…
Lake Group yatoa msaada Rufiji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Rufiji Serikali imezipongeza Kamati za Ulinzi na Usalama pamoja na Kamati za Maafa katika maeneo yote yaliyokumbwa na maafa ya mafuriko kwa namna wanavyosimamia zoezi la uokoaji na kuratibu kwa makini misaada inayotolewa kwa ajili ya…