Year: 2024
MSD yatoa msaada kwa waathirika wa mafuriko Rufiji
Bohari ya Dawa leo imekabidhi bidhaa za afya mbalimbali kwa waathrika wa mafuriko Wilayani Rufiji mkoani Pwani. Bidhaa hizo zimekabidhiwa kituo cha Afya Mohoro kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji ambazo ni pamoja na Dawa, za kuzuia na kutibu malaria,…
DC Okash aibana TANESCO Bagamoyo, atoa maelekezo
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Bagamoyo KATIKA kukabiliana na changamoto ya kukatika umeme mara kwa mara, Serikali Wilayani Bagamoyo, imelielekeza uongozi wa shirika la umeme Tanesco Wilayani humo kuwa na siku moja ya kukata umeme kwa ajili ya matengenezo yasiyo ya…
TRCO yajitosa kumnusuru mnyama kakakuona
Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia, Arusha Wadau wa uhifadhi nchini wametakiwa kuhakikisha kuwa mnyama Kakakuona analindwa na kutunzwa kwani yupo hatarini kutoweka. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa na shirika la Tanzania Research Conservation Organization (TRCO) kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 umesema…
Wananchi wa Kipunguni kulipwa fidia
Na Josephine Majura WF, Dodoma Serikali imesema kuwa itaanza kufanya malipo ya fidia kwa wananchi wa Kipunguni waliopisha upanuzi wa Uwanja wa Ndege jijini Dar es Salaam ambao madai yao yamehakikiwa na hayana vikwazo vyovyote. Hayo yameelezwa bungeni, jijini Dodoma…