Year: 2024
Matukio Waziri Mkuu akiwa bungeni
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Tax, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma…
Kupatwa kwa jua leo Aprili 8, 2024, TMA yatoa elimu
Hali ya kupatwa kwa Jua ni tukio linalohusisha kivuli cha mwezi kuangukia juu ya uso wa Dunia ambapo katika maeneo yaliyo ndani ya kivuli hicho Jua huonekana likifunikwa na Mwezi kwa kipindi cha saa chache. Kwa mujibu wa taarifa ya…
Waitahadharisha Serikali harufu ya upigaji migodini
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia,Mirerani Waziri wa Madini, Anthony Mavunde ameshauriwa na wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite kuwa macho dhidi ya wataalamu waangalizi wa serikali maarufu ’jicho la serikali’. Imeripotiwa kutoka kwa wamiliki hao kuwa wataalam hao wako kwa…
Watu 90 wafa maji Msumbiji
ZAIDI ya watu 90 wamefariki dunia baada ya boti yao kupinduka Mamlaka nchini humo zilisema wasafiri hao walikuwa wakikimbia mripuko wa ugonjwa wa kipindupindu na walikuwa wakitoka Lunga kuelekea Kisiwa cha Msumbiji, kando kidogo ya pwani ya Nampula. Kwa mujibu…
Mwili wa aliyekuwa na deni la Sh milioni 18 wazikwa
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Familia ya marehemu Juma Jumapili (60), wameishukuru Serikali baada ya kuruhusu kuuchukua mwili wa marehemu huyo uliozuiliwa kutolewa katika Hospitali ya Rufaa Bugando iliyoko jijini Mwanza kutokana na kudaiwa gharama za matibabu sh.milioni 18. Akizungumza…
Talaka chanzo cha tatizo la watoto wa mitaani, afya ya akili
Na Patricia Kimelemeta, JamhuriMedia TALAKA, ugomvi, mifarakano na migogoro ndani ya ndoa ni miongoni mwa sababu zinazochangia baadhi ya watoto kuishi mitaani na wengine kupata changamoto ya afya ya akili. Hali hiyo pia inawakumba hata watoto walio chini ya miaka…