Rais Samia azindua meli nne za mizigo, aweka jiwe la msingi la SGR kipande cha Tabora hadi Kigoma
JamhuriComments Off on Rais Samia azindua meli nne za mizigo, aweka jiwe la msingi la SGR kipande cha Tabora hadi Kigoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka kumbukumbu ya Majina ya Wajenzi wa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Sita kutoka Tabora hadi Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Katosho mkoani Kigoma tarehe 20 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka kumbukumbu ya Majina ya Wajenzi wa wakati wa uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Sita kutoka Tabora hadi Kigoma kwenye hafla iliyofanyika Katosho mkoani Kigoma tarehe 20 Julai, 2026.