Rais Dk Samia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa meli 4 za mizigo
JamhuriComments Off on Rais Dk Samia akikata utepe kuashiria uzinduzi wa meli 4 za mizigo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Plasduce Mbossa akitoa maelezo kuhusu ujenzi na ukarabati wa meli kabla ya uzinduzi uliofanyika katika bandari ya Kigoma mkoani Kigoma tarehe 20 Julai, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga Kengele kuashiria uzinduzi wa Meli 4 za mizigo zitakazo hudumu katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, tarehe 20 Julai, 2026.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Meli 4 za mizigo zitakazo hudumu katika Ziwa Tanganyika mkoani Kigoma, tarehe 20 Julai, 2026.