Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 05 Agosti, 2026.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Said Ould Tah baada ya kuwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, tarehe 05 Agosti, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 05 Agosti, 2026.
Viongozi mbalimbali, Wakuu wa Taasisi za fedha za maendeleo, Wawekezaji wa Kimataifa, Wakurugenzi Wakuu, Wawakilishi wa Benki za Maendeleo wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, tarehe 05 Agosti, 2026.