Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akizungumza na Mzee George Owen Mpelumbe ambaye alikuwa Mwalimu wake wakati akisoma Chuo Kikuu cha Mzumbe wakati huo kikijulikana kama Taasisi ya Usimamizi wa Maendeleo – IDM Mzumbe mwaka 1986). Rais Dkt. Samia alikutana na Mwalimu wake huyo katika hafla la uapisho wa viongozi iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma, tarehe 02 Novemba, 2026.