Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya Expo Center nchini Uturuki, tarehe 11 Novemba, 2026.
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa kwenye picha na Mhe. António Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) (kushoto) pamoja na Mhe. Recep Tayyip Erdoğan, Rais wa Jamhuri ya Uturuki (kulia), baada ya kuwasili ANFAŞ Antalya Expo Center nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), tarehe 11 Novemba, 2026.