Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (kushoto) baada ya mazungumzo yao leo alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini.[Picha na Ikulu Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nchini Iran Mhe.Hossein Amir Abdollahian (wa tatu kushoto) alipofika na Ujumbe wake Ikulu Jijini Zanzibar akiwa ziarani Nchini. Post Views: 38 Post navigation Gazeti la Jamhuri wiki hii Mwonekano gazeti la Jamhuri