Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati akikagua Gwaride la Heshima mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Maputo leo tarehe 21 Septemba, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ya Maputo leo tarehe 21 Septemba, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa kwenye mapokezi rasmi yaliyofanyika katika Ikulu ya Maputo nchini humo tarehe 21 Septemba, 202 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ikulu ya Maputo leo tarehe 21 Septemba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi kabla ya kuanza mazungumzo yao yaliyofanyika kwenye Ikulu ya Maputo leo tarehe 21 Septemba, 2022 Post Views: 24 Post navigation UN:Tanzania ya 86 kati ya nchi 163 zenye amani duniani Kifo kingine chahusishwa na Ebola Uganda