
Waziri wa Kilimo Charles Tizeba akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkuu wa Bandari Nelson Mlali na Kulia kwake Kaim Mkurugenz Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu Mara baada ya kuingia Eneo la Bandari ya Mtwara.

Kaimu Mkurugenz wa Bodi ya Korosho CBT Hassan Jarufu akimtambulisha Meneja Mkuu wa TANECU Mohammed Mwinyuku kwa Waziri wa Kilimo Charles Tizeba Mara baada ya Kuwasili katika Uwanja wa Ndege Mkoani Mtwara, Waziri wa Kilimo Charles Tizeba yupo Ziara ni Mkoa wa Mtwara kukagua Uuzwaji wa Zao la Korosho.




