Author: Jamhuri
Tanzania yafanikiwa kudhibiti ukeketaji mipakani
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima akizungumza katika mdahalo ulioshirikisha Mawaziri wa Jinsia kutoka nchi za wanachama wa umoja wa Afrika wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa kutokomeza Ukeketaji Oktoba 10, 2023…
Wizara ya Afya yasaini makubaliano ya ushirikiano na taasisi za afya nchini India
New Delhi, India Wizara ya Afya Tanzania na Taasisi za Afya nchini India zimeingia makubaliano ya ushirikiano ya kuboresha huduma za afya na uzalishaji wa bidhaa za afya nchini Tanzania. Shughuli ya kusaini hati za makubaliano hayo imeshuhudiwa na Rais…
Waziri Silaa: Pisheni eneo la chanzo cha maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida WANANCHI wa Mwankoko katika Manispaa ya Singida wanaotakiwa kupisha mradi wa chanzo cha maji cha Mwankoko wametakiwa kuridhia fidia waliyopewa na kupisha eneo la chanzo hicho kinachotumika na wakazi wa mji wa Singida. Agizo hilo…
Waziri Mhagama, azindua muongozo wa uwekezaji Manyara
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Manyara Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama ametoa wito kwa watendaji wa Serikali; kujipanga na kuhakikisha Muongozo wa uwekezaji kwa Mkoa Manyara unawafikia wananchi wote ili kufanya kazi kwa…
Ndumbo : Wadau washirikiane na Serikali kusaidia changamoto za kielimu
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Mafia Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Mkoani Pwani Mwalimu Kassim Ndumbo ametoa wito kwa taasisi na mashirika binafsi kushirikiana na serikali katika masuala mbalimbali ya kijamii yakiwemo afya na elimu. Ndumbo ameyasema hayo…
EWURA yatoa onyo kwa wamiliki wa vituo vya mafuta, yavifungia vituo tisa vya mafuta
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imevifungia vituo viwili vya mafuta kwa muda wa miezi sita kwa kosa la kuhodhi mafuta ili kujipatia maslahi haramu ya biashara ikiwemo faida…