JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mtoto aliyekuwa na tatizo la kumeza chakula kwa miaka saba afanyiwa upasuaji

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar ea Salaam Mwishoni mwa juma lililopita, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ilimfanyia upasuaji kwa njia ya matundu madogo (Laparoscopic Hellers Myotomy) mtoto wa miaka saba ambaye alikua na tatizo la kumeza linalojulikana kwa kitaalam kama…

Sakata la Mbowe na waandishi bado ni utata

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kesho inatarajia kutoa uamuzi wa kukubali ama kuyakataa maombi ya Freeman Mbowe ya kutaka waandishi wa habari wanaomdai mtoto wake Sh milioni 62.7 wamlipe gharama. Maamuzi hayo yametolewa…

Serikali yatoa bilioni 2.2 kutekeleza miradi mitano ya maji Songea

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Songea Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan imetenga Zaidi ya shilingi bilioni 2.238  kutekeleza miradi mitano ya maji katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika mwaka wa fedha wa…

Aliyewanywesha watoto wake sumu na kufariki naye afariki

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Daines Paul Mwashambo (30), mkazi wa Kijiji cha Mashese aliyekuwa akishikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wawili kwa kuwanywesha sumu amefariki. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema kuwa marehemu alikuwa akipatiwa…

TARURA kutekeleza miradi ya barabara ya bil. 17 Kaliua

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wilayani Kaliua Mkoani Tabora wanatarajia kutumia zaidi ya sh bil 17 kwa mwaka wa fedha 2024/2025 kwa ajili ya matengenezo ya barabara ili kuhakikisha barabara zote zinapitika….

Rais Samia awezesha miradi ya wafugaji, watakiwa kuzalisha maziwa kwa wingi

Na Edward Kondela, JamhuriMedia, Tanga Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amesema jitihada zinazofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kufungua nchi kiuchumi zimesaidia uwepo wa miradi mbalimbali ikiwemo ya…