JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Steven awashauri kwa wanaharakati kuacha kufanya siasa za udhalilishaji

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao Steven Mengere amewashauri wanaharakati na wanasiasa kufanya siasa za hoja na sera na si kutumia lugha za matusi na udhalilishaji lakini pia kutumia mitandao kutangaza…

Mfuko wa Self Microfinance waweka mikakati kusaidia wajasiriamali, wakopesha bil.324.51/-

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam MFUKO wa SELF (SELF Microfinance Fund), umeandaa mikakati ya kuwasaidia wajasiriamali wadogo ili kuwawezesha kupata huduma za kifedha kwa ajili ya kujiajiri na kujikwamua kiuchumi. Hayo yamebainishwa leo Machi 11, 2024 na Mkurugenzi…

Baba aua mtoto wa miezi minne kwa kumchapa na fimbo kichwani

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Songwe Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linamtafuta, Masumbula Nemson, mkazi wa Kitongoji C  katika kijiji cha Namkukwe, Wilayani Songwe kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake wa miezi mine baada ya ugomvi na mke wake. …

Madini, kilimo vilivyoipaisha Ruvuma

Na Albano Midelo, JamhuriMedia, Ruvuma  Pato la Taifa katika Mkoa wa Ruvuma limeongezeka  kutoka shilingi bilioni 2.37 mwaka 2012 hadi kufikia bilioni 6.39 mwaka 2022. Kwa mujibu wa takwimu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) uchumi wa Kanda ya…