JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Dk Biteko ataka Watanzania kumuenzi Sokoine kwa kufanyakazi

๐Ÿ“ŒHayati Sokoine alikuwa mstari wa mbele kukemea rushwa na ufisadi ๐Ÿ“ŒAnakumbukwa kama kiongozi aliyepigania maendeleo ya taifa. ๐Ÿ“ŒDkt. Biteko asisitiza Sekta ya Kilimo iwe kimbilio Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, Watanzania wanapaswa…

Mafuriko Rufiji,Kibiti ACT Wazalendo watoa ushauri kwa Serikali

Na Magrethy Katengu,Jamhuri Media, Dar es Salaam Chama cha ACT Wazalendo kimemwomba Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kujionea hali halisi Rufiji na Kibiti waliokumbwa na janga la mafuriko huku malighafi zao zikiharibika ikiwemo makazi na mashamba yao. Ombi hilo amelito leo…

Walipa kodi Tabora waunga mkono juhudi za Rais Samia

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Tabora imeeleza kupata mafanikio makubwa katika kipindi cha miaka 3 ya utawala wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kutokana na mwitikio mzuri wa wananchi kulipa kodi. Hayo yamebainishwa na…

Makonda: Arusha mmenipokea vizuri sana ila tutageukana muda si mrefu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watumishi wa umma kutimiza wajibu wao na kusisitiza kuwa hatokuwa tayari kuvumilia uzembe kwa mtumishi yeyote bila kujali yeye ni nani. “Arusha mmenipokea vizuri sana ila tutageukana…

Dk Biteko mgeni rasmi mdahalo wa kumbukizi miaka 40 ya hayati Sokoine

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo tarehe 8 Aprili, 2024 anashiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Kumbukizi ya Miaka 40 ya Hayati Edward Sokoine unaofanyika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kilichopo mkoani Morogoro….

Matukio Waziri Mkuu akiwa bungeni

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Tax, Bungeni jijini Dodoma Aprili 08, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Musukuma, Bungeni jijini Dodoma…