Author: Jamhuri
Bashe :Maafisa ugani wapatikane kwenye vituo
Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Hussein Bashe (Mb) amewataka wakurugenzi wa Halmashauri zote nchi kuhakikisha maafisa Ugani wanapatikana katika vituo vyao vya Kazi kama ilivyo kwa walimu. Bashe ameyasema hayo leo hii akiwa mkoani Tanga ambapo ameanza ziara yake ya kikazi…
Kinana azuru kaburi la Hayati Rais Magufuli
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Komredi Abdulrahman Kinana, akiwa ameambatana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wamezuru na kufanya sala katika kaburi la Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John…
Mabula amshukuru Rais Samia kwa kutoa fedha za miradi ya maendeleo Ilemela
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Ilemela Wenyeviti wa Serikali za Mitaa wametakiwa kutekeleza wajibu wao kwa kufanya mikutano ya hadhara, kusoma mapato na matumizi pamoja na kutatua kero za wananchi. Rai hiyo imetolewa na mbunge wa Jimbo la Ilemela Dkt Angeline…
Maneno ya Naibu Waziri Pinda yataka kumliza diwani wa Kisaki Singida
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Singida Maneno ya Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi l Geophrey Pinda wakati wa kutafuta suluhu ya mgogoro wa ardhi kati ya wananchi wa Kisaki na Mwekezaji wa Sekta ya Nyuki katika eneo…
Ligi Uturuki yasitishwa baada ya rais wa klabu kumpiga ngumi refa
Kiongozi wa mchezo wa kandanda nchini Uturuki wamesimamisha ligi zote baada ya refa kupigwa ngumi na rais wa klabu kufuatia mchezo wa ligi kuu siku ya Jumatatu. Halil Umut Meler alipigwa na rais wa mke Ankaragucu, Faruk Koca, ambaye alikimbia…