Author: Jamhuri
Chuo cha Bandari Dar chajiwekea mikakati
Chuo cha Bandari Dar es Salaam kimejiwekea mkakati wa kujenga chuo kikuu kingine kikubwa kitakachohudumia nchi zote zinazozunguka kusini mwa Afrika ifikapo mwaka 2024. Aidha mikakati mingine ni kuhakikisha wanaendelea kuandaa wataalamu katika sekta ya mafuta na gesi kwani chuo…
Majaliwa: Nishati safi ya kupikia ni kipaumbele cha Serikaki
Teresia Mhagama na Zuena Msuya ya WaziriI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa, suala la upatikanaji wa nishati safi ya kupikia ni moja ya vipaumbele vya nchi na kwamba Serikali inahakikisha kuwa uandaaji wa Dira na Mpango Mkakati wa matumizi ya…
Tanzania yaandika historia mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 20, 2023 ameandika historia mpya ya Tanzania kwa kuzindua Majengo mapya ya Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma akishuhudiwa na mamia ya Watanzania pamoja na wageni mbalimbali kutoka…
Kanisa la TAG lauza nyumba ya muumini kwa kushindwa kulipa riba
Na Andrew Chale, Dar es Salaam Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), kupitia taasisi yake ya mikopo ya Uwezo Financial Service Limited (UFSL) limedaiwa kuuza nyumba ya muumini wake kwa kushindwa kulipa riba iliyopanda bila kuzingatia sheria mamlaka za…
Bunge lapitisha kwa kishindo bajeti ya Wizara ya Habari
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeidhinisha Bilioni 215.25 ikiwa ni Mpango na Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa Mwaka wa Fedha 2023/24.. Aidha Wizara…
Rais Mstaafu Kikwete aongoza harambee ya GGML KILL Challenge
Na Mwandishi Wetu Jumla ya Dola za Marekani 700,000 (sawa na Sh bilioni 1.6) zimepatikana katika uzinduzi wa harambee ya kampeni ya GGML Kili Challenge iliyoongozwa na Rais mstaafu Dk. Jakaya Kikwete kwa lengo la kukusanya Sh bilioni 2.3 fedha…