Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud wakizungumza na Waandishi wa Vyombo mbalimbali vya Habari mara baada ya Mkutano wao uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mgeni wake Rais wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia Mhe. Dkt. Hassan Sheikh Mohamud mara baada ya kukamilisha ziara yake ya Kiserikali nchini Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili 2024.