Author: Jamhuri
NMB yakabidhi viti, meza za Mil. 15/- kwa Sekondari Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Benki ya NMB imekabidhi msaada wa viti 100 na meza 100 vyenye thamani ya Sh. Mil. 15, kwa matumizi ya wanafunzi wa Shule za Sekondari Kidawendui na Jibondo, zilizoko Mafia mkoani Pwani, vifaa vilivyopokelewa na…
Wananchi kushirikishwa kuondoshwa kwa kijiji cha Ngaresero
Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja amesema Serikali itawashirikisha wananchi kuhusu utekelezaji wa Maamuzi ya Baraza la Mawaziri ya kukiondoa Kijiji cha Ngaresero katika Pori Tengefu la Ziwa Natron. Naibu Waziri huyo ameeleza hayo Bungeni…
‘Nishati mbadala muarobaini wa ukataji miti kiholela’
Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia,Bagamoyo Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa( 2023) ,Abdallah Shaib amehimiza wananchi kuongeza matumizi ya Nishati Mbadala (gesi) ,badala ya kutumia mkaa na kuni ambao huchochea ongezeko la ukataji miti kiholela. Alitoa msukumo huo ,katika…
Serikali yatoa ufafanuzi kufungiwa kwa kumbi za starehe
Serikali imetolea ufafanuzi kuhusu baa na kumbi za starehe zilizokiuka utaratibu baada ya kubainika kupiga muziki uliozidi viwango katika mikoa mbalimbali nchini na hivyo kukiuka Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004. Ufafanuzi huo umetolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya…
Serikali yajipanga kuendelea kunufaika na fursa za mtangamano wa kikanda
SERIKALI ya Tanzania imejipanga kuendelea kunufaika na fursa zinazotokana na Mtangamano wa Kikanda ili kuwawezesha watanzania kufaidika na uanachama wa Tanzania katika Jumuiya mbalimbali za kikanda. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,…
Serikali yaandaa mfumo wa huduma ndogo za fedha
Kamishna Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha na Mipango, Dionisia Mjema akifungua kikaokazi cha kuainisha mahitaji ya mfumo wa kielektroniki wa usajili na usimamizi wa Mifuko na Programu za uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichofanyika jijini Dodoma. Na Farida…