JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania,Burundi na UNHCR zasaini makubaliano ya kuwarejesha wakimbizi kwa hiari Burundi

Na Mwandishi Wetu Tanzania, Burundi  na Shirika la Wakimbizi Duniani (UNHCR)  zimesaini makubaliano ya pamoja kuhusu kuendelea kuwarejesha  kwa hiyari Nchini kwao Wakimbizi wa Burundi wanaohifadhiwa Nchini Tanzania makubaliano yaliyofikiwa mjini Gitega Burundi katika mkutano wa 23 wa pande tatu…

Le Mutuz’ afariki

Mmiliki wa ‘Le Mutuz’ Blog, William Malecela, maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Msanii Steve Nyerere Taarifa zaidi zitakujia hivi punde

Madaktari bingwa wa moyo JKCI watia fora Malawi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Madaktari bingwa wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), wamefanikiwa kuwapatia matibabu ya kibingwa wagonjwa zaidi ya 724 wa moyo nchini Malawi walikoweka kambi ya siku tano. Matibabu hayo yamefanikiwa chini ya uratibu wa Kamati…