JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Askari Polisi wawafariji wagonjwa Hospitali Kuu ya Jeshi

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi- Dar es Salaam Jeshi la Polisi kupitia kikosi cha afya kimesema jeshi hilo linatoa huduma za kiafya kwa wananchi na askari pamoja na familia za askari wa maeneo tofauti tofauti licha ya kazi…

Uandishi wa vitabu, mavazi na muziki wa singeli kunufaika na bil. 1.6

Na Eleuteri Mangi, WUSM, Dar es Salaam Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu ameshuhudia kusainiwa kwa fedha kiasi cha Sh. Billion 1.6 zitakazotolewa na Serikali ya Ufaransa kusaidia wasanii katika sekta ya filamu, muziki wa…