Author: Jamhuri
CBE yaanza kutoa mafunzo wahudumu wa mabasi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kimeanza kutoa mafunzo kwa wahudumu wa kwenye mabasi ya abiria ili kuifanya kazi hiyo kuheshimika kama zilivyo fani zingine. Hayo yalisemwa jana na Mkuu wa chuo cha…
Polisi Kigoma yanasa bunduki 16 za kivita kwenye msako
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Kigoma Polisi mkoani Kigoma imefanikiwa kukamata jumla ya bunduki 16 aina mbalimbali zikihusishwa kutumika kwenye matukio ya uhalifu mkoani humo huku watu 13 wakikamatwa kwa tuhuma za kumiliki bunduki hizo. Kamanda wa Polisi Mkoa Kigoma, Filemon…
Majaliwa : Miaka 60 ya Mapinduzi yazipaisha sekta za elimu na afya
*Ampongeza Rais Dkt. Mwinyi kuyatekeleza malengo ya Mapinduzi kwa vitendo *Asema lazima yalindwe, yaheshimiwe na historia irithishwe kwa vizazi vyote *Asisitiza yalifanyika baada ya kuchoshwa na ubaguzi na utawala wa kikoloni *Asema uhuru tulionao sasa umetokana na ndugu zetu waliojitoa…
RC Chalamila : Marufuku ombaomba barabarani, wazagaaji
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amepiga marufuku uzagaaji wa watu kwenye maeneo yote ya msingi kama vile Tanzanite bridge na Ubungo, watoto wa mitaani na ombaomba barabarani ambapo amewaagiza Wakuu wa Wilaya kuwafukuza na wengine kuwakamata…
Wananchi chukueni tahadhari dhidi ya ugonjwa wa ‘ Red eyes’
Na Mwandidhi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Afya imewaasa wananchi kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa macho mekundu (Red eyes) maambukizi ya Kirusi kwenye ngozi ya juu ya gololi ya jicho yajulikanayo kitaalamu “Viral Keratoconjunctivitis” iliyoibuka nchini hivi karibuni. Hayo yamesemwa…




