JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania yaungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Makazi Duniani

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha maboresho ya sera ya ardhi ambayo italeta suluhisho kwenye suala la umiliki wa ardhi ikiwa ni pamoja na kuwashughulikia wamiliki wasioendeleza ardhi. Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku…

NSSF Pwani yapinga kukemea vitendo vya rushwa kazini, atakayebainika kukiona – Witness

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Mkoani Pwani, imetoa rai kwa mtumishi ama mtendaji yeyote anaejihusisha na vitendo vya rushwa kuacha mara moja vitendo hivyo kwani vinachangia kuzorotesha utoaji wa huduma kwa wateja….

Wizara ya Ardhi ya kuja na maboresho ya Sera ya Ardhi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi iko katika maboresho ya Sera ya Ardhi ili kuwa na sera itakayoleta suluhu kwenye changamoto za Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa Taifa. Hayo yamebainishwa Septemba…

Katibu Msigwa akabidhi Twiga Stars milioni 10, goli la mama

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sana na Michezo Bw. Gerson Msigwa akimkabidhi Nahodha wa timu ya Twiga Stars Joyce Lema kitita cha Sh. Milioni 10 zilizotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufuatia…

Tanzania kupokea ndege kubwa ya Masafa ya kati kesho

Na Wilson Malima Dar es Salaam. Shirika la ndege Tanzania (ATCL) linatarajia kupokea ndege ya abiria ya masafa ya kati aina ya B737-9MAX ambayo uundaji wake umekamilika itakayowasiri kesho Oktoba 03, 2023. Ndege hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 181…