Author: Jamhuri
‘Serikali haikuruhusu mikutano ya hadhara ili kuvunja sheria’
Serikali imesema kuwa haikuruhusu mikutano ya hadhara ili watu wakavunje sheria, kutukana, kukashifu, kuchambua dini za watu. Hayo yamesemwa na Rais amesema Rais, Samia Suluhu leo jijini Dar es Salaam wakati alipokuwa akifungua Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya…
OSHA yatoa mafunzo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Wakala wa Usalama na Afya Mahali Pa Kazi (OSHA) imefanya semina elekezi kwa Waheshimiwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti leo tarehe 10 Septemba, 2023, mkoani Arusha. Aidha,semina hiyo ililenga kutoa uelewa…
Tuendelee kumpa ushirikiano Rais wetu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wananchi waendelee kumuamini Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan kwa sababu ana dhamira na malengo makubwa ya kuendelea kuboresha maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini yakiwemo na ya wilaya ya Ruangwa. “Tujenge imani ya Serikali yetu, tujenge…
Ummy kuanza ziara ya siku tatu Songwe
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anatarajiwa kuanza ziara ya siku tatu kuanzia Septemba 11-13, 2023 katika Mkoa wa Songwe kukagua hali ya utoaji Huduma za Afya katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Songwe, Hospitali za Halmashauri, Vituo vya Afya…
Waziri Mkuu awahamasisha wananchi kushiriki katika michezo
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka wananchi kwenye maeneo mbalimbali nchini washiriki katika michezo kwa kuwa michezo ni ajira, uchumi na huimarisha afya. “Tunapa faida nyingi kwa kufanya michezo, tushiriki katika michezo pamoja na kukimbia riadha kwa kuongeza vipaji tulivyonavyo kwani…