JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mabula ageuka Mbogo

Na Mwandishi Maalum, Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Dkt.Angelina Mabula amegeuka mbogo na kuwashambulia watendaji wake akiagiza,hataki kuwaona ofisini wale wote waliolalamikiwa kuhusika na migogoro ya ardhi iliyokithiri mkoani Dodoma ambapo Wizara imebaini wananchi wengi, wabunge 20,mtumishi…

Wananchi watakiwa kulinda miundombinu ya anwani za makazi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia Mkurugenzi wa huduma za Mawasiliano, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya habari Mulembwa Munakuamewataka wananchi kuheshimu miundombinu ya mfumo wa anwani za makazi ili kurahisisha huduma za kijamii na kuchochea uchumi. Munaku amesema hayo leo…

Dkt.Ndungulile ataka jiji la Dar kupewa kipaumbele

Na Dotto Kwilasa, JamhiriMedia, Dodoma. Serikali imetia saini mkataba wa Mradi Uendelezaji Jiji la Dar es Salaam(DMDP) awamu ya pili na wakandarasi watatu wenye thamani ya shilingi Bilioni 800 huku ikiahidi kusimamia mradi huo ili kama kuna dosari zilizojitokeza wakati…

Serikali kuwabaini wanaochanganya bangi kwenye vyakula

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imebaini uchanganyaji wa bangi yenye kiasi kikubwa cha kilevi katika vyakula vikiwemo biskuti, asali, juisi, majani ya chai na keki na kueleza kuwa itawachukulia hatua wote watakaobainika. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,…

ATE yazindua mchakato wa tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2023

Tuzo ya Mwajiri Bora wa Mwaka imeendelea kuwa tukio muhimu linalotambulika katika ngazi ya kitaifa ambapo kwa miaka kadhaa sasa tuzo hizi zimehamasisha Waajiri kuweka sera bora za ajira na usimamizi wa rasilimali watu. Pia tuzo hizi zimeweza kuchochea na…