Author: Jamhuri
TCRA:Rukwa kinara wizi wa fedha kwa njia mtandao
Na Wilson Maliama, JAMHURI MEDIA Makoa wa Rukwa umetajwa kuwa kinara wa wizi wa fedha kwa njia ya mtandao kwenye simu unaofanywa na watu wasio waaminifu huku watumiaji wa mtandao wa Tigo ndiyo wakionekana kuibiwa kwa wingi kuliko mitandao mingine…
Azam FC yaiua kiume Simba nusu fainali
Azam FC imewaua kiume Simba 2-1 kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwada Sijaona. Ni Lusajo Mwaikenda dakika ya 22 alianza kupachika bao kwa Azam FC kisha usawa ukawekwa na…
NMB yafanya makubwa Muhimbili, yakabidhi wodi ya uzazi na vifaa
Benki ya NMB imekarabati na kukabidhi wodi ya uzazi pamoja na vifaa tiba kwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Ukarabati huo uliogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 250 umejumuisha kupaka rangi jengo, kukarabati makabati, kubadilisha vyoo na kuboresha eneo la mapokezi….