JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Majaliwa mgeni rasmi kongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya Mwalimu Nyerere

Makamu mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Bw.Peter Mavunde,akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Mei 4,2023 jijini Dodoma  kuelekea katika kongamano la kumbukizi ya miaka 101 ya kuzaliwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Na. Gideon…

Tanzania, Indonesia kushirikiana uchimbaji madini

Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameeleza kuwa, Tanzania na Indonesia zitashirikiana katika kuendeleza shughuli za uchimbaji wa madini hapa nchini ili kufungamanisha Sekta ya Madini na sekta nyingine za kiuchumi. Hayo yamebainishwa na Dkt. Biteko Mei 4, 2023 jijini…

Wazee wa CCM Z’Bar wafunguka kupanda kwa pensheni

Na IS-HAKA OMAR,Zanzibar. Baeaza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Zanzibar, limeeleza kuridhishwa na kasi kubwa ya utendaji wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa kuendeleza kwa vitendo azma na malengo ya Mapinduzi ya…

Makalla ampongeza Rais Samia kutoa bil.950/ za ujenzi Hospitali ya Magereza Ukonga

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ameweka jiwe la msingi kwenye  jengo la dharura kwenye Hospital ya Jeshi la Magereza Ukonga  ambayo inatoa huduma za afya kwa Jeshi la Magereza na  wananchi zaidi ya 900,000 wa Jimbo…

Jenerali Mabeyo:Tuongeze jitihada za kufanya utafiti wa kutokomeza mimea vamizi

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NCAA Jenerali Venance Mabeyo (mstaafu) ametoa rai kwa wataalam wa masuala ya uhifadhi kuongeza jitihada na mbinu mbalimbali za kiutafiti zitakazosaidia kupunguza changamoto za mimea vamizi katika maeneo ya hifadhi. Jenerali Mabeyo ametoa rai…

AZAKI za Afrika Mashariki zijikite kuinua uchumi wa wananchi wa chini

Na Zulfa Mfinanga, JamhuriMedia,Arusha Serikali imesema itaendelea kukuza ushirikiano na mashirika yasiyokuwa ya kiserikali kwa kutunga sera ambazo zitakuwa chachu ya ukuaji wa uchumi katika ukanda wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha Jumuiya ya Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali ukanda…