JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mchengerwa: Ajira 231 za Rais Samia kutatua kero ya tembo

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa, leo April 26, 2023, Mlele, Mpanda, mkoani Katavi, amefunga mafunzo ya askari 231 wa Jeshi la Uhifadhi akisema ajira hizo zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan,…

Wanne wauawa kwa tuhuma za ujambazi

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Polisi Mkoani hapa limewathibiti majambazi wanne wa kiume ambao majina yao bado hayajatambulika wenye umri kati ya 25-30 waliokuwa katika harakati za kufanya tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha nyumbani kwa  Edna Joseph…

Watu milioni 2.9 hupoteza maisha Kutokana na magonjwa,ajali kazini

Na Dotto Kwilasa ,JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi Ajira na Wenye ulemavu  Profesa.Joyce Ndalichako   amesema zaidi ya watu milioni 2.9 kwa mwaka  hupoteza maisha kutokana na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi hali inayochangia jamii kupoteza…

Majaliwa:Serikali imetenga bil.9.9 za ujenzi wa vituo saba vya zimamoto na uokoaji

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga shilingi bilioni 9.93 katika bajeti ya mwaka 2023/2024 kwa ajili ya kukamilisha miradi ya ujenzi wa vituo saba vya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Amesema kuwa vituo hivyo vitajengwa katika Mikoa ya Songwe,…

‘Shule za sekondari, msingi zirudishe mazoezi kwa wanafunzi’

Na WAF – Dar es Salaam Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezitaka shule zote za msingi na sekondari nchini kuwepo na mazoezi ya viungo kwa wanafunzi ikiwepo kukimbia, mchakamchaka, kutembea na kucheza ngoma au mpira kwa lengo la kupunguza Magonjwa…