Author: Jamhuri
Yajue matokeo ya awali ya sensa 2022 na maana ya sensa
Na Helena Magabe, JamhuriMedia, Tarime Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 yanaonyesha kuwa ,idadi ya watu chini imeongezeka kutoka milioni 44,928,923 watu waliohesabiwa mwaka 2012 hadi kufikia watu milioni 61,741,120 kwa mwaka 2022 sawa na wastani…
Waratibu 85 Mtwara, Lindi wawezeshwa mafunzo mwongozo kukabiliana na ukatili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mtwara Kikosi kazi cha uwezeshaji wa mafunzo ya mwongozo wa kukabiliana na ukatili maeneo ya umma kimeifikia mikoa ya Mtwara na Lindi ambapo jumla ya washiriki 85 kutoka kwenye mikoa hiyo wamepatiwa mafunzo ya siku moja…
Machifu wa Ufipa waomba makumbusho ya Wafipa, wamsimika uchifu Chongolo
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Godfrey Chongolo amesimikwa uchifu na wazee wa kabila la Wafipa mkoani Rukwa na kukabidhiwa mkuki na upinde na kuvalishwa mgolole, huku wakiomba wajengewe makumbusho ya labila la Wafipa….
Mafia kupokea watalii 150 kutoka Afrika Kusini Machi 2024
Na Mwamvua Mwinyi, Jamhuriamedia, Mafia KISIWA cha Mafia kinatarajia kupata ugeni mkubwa wa watalii kupitia meli kubwa ya kitalii Afrika Kusini, itakayobeba watalii 150 , Machi, 2024. Ugeni huo ni matokeo chanya ya tamasha kubwa la utalii na uchumi wa…





