Author: Jamhuri
Serikali: Utatuzi wa changamoto za Muungano haujakwama
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Khamis Hamza Khamis amesema suala la utatuzi wa changamoto za Muungano halijakwama wala halijasuasua. Amesema hayo jana wakati akijibu swali la Mbunge wa Same Magharibi…
TIA, GEL zasaini mkataba kutafuta fursa nje ya nchi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia taasisi hiyo fursa za wanafunzi na wahadhiri kwenye vyuo vikuu vya nje….
Radi yaua mwanafunzi akiwa darasani, 44 wajeruhiwa Nachingwea
Na Fredy Mgunda, JamhuriMedia, Nachingwea Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Kipaumbele , Alex Justine (18), wilayani Nachingwea amefariki baada ya kupigwa na radi akiwa darasani akifanya mtihani wa kujipima kwa ngazi ya wilaya. Akidhibisha kutokea kwa…
Bunge lapitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Aprili 24, 2023 limepitisha Bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 kiasi cha ya Sh. 54,102,084,000 kwa matumizi mbalimbali yakiwemo miradi ya maendeleo. Akitoa maelezo kuhusu hoja…