JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

RC Chalamila: Viongozi wa dini chachu ya maendeleo na ustawi wa jamii

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema biongozi wa dini wanawajibu mkubwa katika jamii katika kuleta maendeleo na ustawi wa taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2023 katika ukumbi wa mikutano Yombo unaomilikiwa na Chuo…

‘Dhana ya ufuatiliaji na tathmini itekelezwe kwa vitendo’

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amewasihi wataalam na wabobezi mbalimbali wa eneo la Ufuatiliaji na Tathmini kuitekeleza dhana hiyo kwa vitendo. Naibu…

Wanafunzi 192 hawajaripoti kidato cha tano Kibaha

Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Jumla ya Wanafunzi 192 wakiwemo 44 wa shule ya Sekondari Kibaha Wavulana kati ya 791 wanaonza safari ya miaka miwili ya kidato cha tano na sita hawajaripoti kwenye shule za Serikali za Halmashauri ya Mji…

CUBA zakubaliana kushirikiana elimu ya juu, fundisha kiswahili CUBA na kuandaa kamusi ya kiswahili Kispaniola

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Cuba zimesaini Hati za Makubaliano ya kushirikiana kupitia elimu ya juu kwa kubadilishana wakufunzi na wanafunzi, kufundisha lugha ya kiswahili katika Chuo Kikuu cha Havana nchini Cuba na…

Wananchi Mtwara Waishukuru Serikali kwa Hospitali ya Rufaa Kanda

Na Immaculate Makilika , JamhuriMedia -MAELEZO Wananchi wa Mkoa wa Mtwara wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa uwepo wa Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini mkoani humo. Akizungumza leo katika mahojiano maalum…