JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Baleke apewa programu maalumu

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Mshambuliaji kutoka DR Congo Jean Othos Baleke ameandaliwa Program maalum itakayomuongezea kasi ya kufunga mabao akiwa na Kikosi cha Simba SC, kinachojiandaa na mchezo wa Mzunguuko wasita wa Kundi C, Ligi ya Mabingwa Barani Afrika. Programu hiyo…

Nabi bado anapatikana kileleni CAF

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Ikiwa ni siku chache zimesalia mabingwa wa ligi ya Tanzania Bara ‘Yanga SC’, kuvaana na TP Mazembe katika mchezo wa kundi D, kombe la shirikisho Barani Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo Nassredine Nabi amesema bado wanahitaji…

Morrison kuwahi Simba NBC

Na Tatu Saad,JamhuriMedia Ripoti imeeleza mshambuliaji kutoka nchini Ghana, Benard Morrison ameshapona kwa asilimia 80 na hivyo mchezaji huyo kuweza kuuwahi mchezo wa ligi kuu Tanzani Bara dhidi ya Simba Sc. Morrison kwa kipindi kirefu amekuwa nje ya kikosi cha…

Polisi wazingira mitaa ya Nairobi kudhibiti maandamano

Askari wa kutuliza ghasia nchini Kenya wako katika mitaa ya mji mkuu, Nairobi, katika jitihada za kuzuia maandamano yaliyoitishwa na upinzani kuhusu gharama ya juu ya maisha na madai ya ukiukwaji wa maadili katika uchaguzi. Pia kuna idadi kubwa ya…

Waziri Nape kufungua Kongamano la 12 la Kitaaluma la TEF Morogoro

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),linatarajia kufanya Kongamano la 12 la Kitaalamu mkoani Morogoro ambapo linatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye. Akizungumza na vyombo vya habari kuhusu kongamano hilo la siku…

Ummy awajulia hali waliowekwa karantini kwa kuwahudumia wagonjwa wa Marburg

Na WAF – Bukoba,JamhuriMedia,Kagera Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amewatembelea watumishi wa afya waliowekwa sehemu maalumu ya uangalizi baada ya kuwahudumia wagonjwa wa Marburg walioripotiwa katila Wilaya ya Bukoba Mkoani Kagera. Ziara hiyo ameifanya leo akiambatana na Wawakilishi kutoka Shirika…