Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akijadili jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk (kulia), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Stephen Dkt. Byabato  (wa pili kulia) na Naibu Waziri  Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt Festo Dugange, bungeni jijini Dodoma Septemba 6, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)