JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Baleke aibeba Simba, yaichapa Mtibwa 3-0

Mshambuliaji Mkongo, Jean Baleke amefunga mabao yote matatu leo Simba SC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mjini Morogoro. Baleke aliyesajiliwa dirisha dogo…

CHAUMMA: Tunawaomba wadau,wanachama kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake

Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimewaomba wadau na wanachama wa chama hicho kukichangia chama ili kufanikisha mikutano yake ya hadhara ambayo inatarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi Machi mwaka huu wa 2023. Tamko hilo limetolewa leo Machi 11, 2023 jijini…

Naibu Waziri wa Maji awataka wananchi kutunza vyanzo vya maji Songea

Na Cresensia Kapinga,JamhuriMedia,Songea Naibu Waziri wa maji mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakazi wa manispaa ya Songea na vitongoji vyake kuona umuhimu wa kutunza mazingira kwenye vyanzo vya maji ili miradi ya maji inayotekelezwa na serikali iweze kuwa endelevu pamoja na…

Jaji Mkuu ataja faida za majaji na mahakimu wanawake

Magreth Kinabo na Mary Gwera Jaji Mkuu wa Tanzania,Prof. Ibrahim Hamis Juma amefungua Kongamano maalum la kusherehekea Siku ya Majaji na Mahakimu Wanawake Duniani lililoandaliwa na Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) ambapo amebainisha kuwa, uwepo wa Majaji…

Taasisi ya wanawake na diplomasia yampongeza Rais Samia

Taasisi ya Wanawake na Diplomasia, imetoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyoendelea kutumia diplomasia kuifungua nchini katika nyanja mbalimbali ikiwemo ya uchumi na diplomasia. Akizungumza leo jijini Dar es Salaam kwenye…