Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (kushoto) wakizindua mradi wa “kuimarisha mazungumzo ya vyama  vingi vya Siasa na kukuza ushiriki wa Wanawake na Vijana katika michakato ya kisiasa na Chaguzi” hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  wakati  wa Ufungaji wa Mkutano wa Kitaifa wa  kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024na 2025.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.           
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) na Mwenyekiti wa TCD Prof.Ibrahim Lipumba (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa wakati wa kufunga 
Ufungaji wa Mkutano wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  .[Picha na Ikulu] 23/08/2023. .

Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano 
mkutano   wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  ambapo   Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023. 
Baadhi ya Viongozi na Wad mbali mbali wa Vyama vya siasa walioshiki mkutano
wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  wakifuatilia kwa makini Hotua ya Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa Ufungaji wa mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023. 

Baadhi ya Mabalozi wanaowakilisha Nchi zao hapa Tanzania wakiwa katika ufungaji wa Mkutano 
mkutano   wa siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  ambapo   Mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) aliufunga mkutano huo
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa Hutuba yake katika 
mkutano wa 
siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam
 uliohudhuriwa na Viongozi na wadau mbali mbali.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akiagana na 
Mwenyekiti wa TCD Mhe.Prof.Ibrahim Lipumba,baada ya kuufunga  
mkutano wa  siku mbili wa Kitaifa wa   kujadili hali ya Demokrasia nchini kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2024 na 2025 leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam  
.[Picha na Ikulu] 23/08/2023.

By Jamhuri