Author: Jamhuri
Tanzania, Cuba kushirikiana katika mchezo wa ngumi
Tanzania kupitia Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo na Serikali ya Cuba kupitia Taasisi ya INDER ya nchini humo zimekubaliana kushirikiana katika eneo la kuendeleza mchezo wa ngumi, ambapo mabondia kutoka hapa nchini watapata fursa ya kuweka Kambi Cuba pia…
NMB yatenga bil.20/- BBT, yamwaga mikopo kwa wakulima
Katika kuunga mkono juhudi za Serikali kuwainua vijana na wanawake kupitia mradi wa kuwawezesha kulima, kuvua na kufuga kibiashara (BBT), Benki ya NMB imetenga jumla ya Sh. bilioni 20 pamoja na kuwaelimisha vijana na wanawake hao namna ya kupata mikopo…
Majaliwa aiagiza BoT kuzisimamia benki katika maboresho ya riba
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa ameiagiza Benki kuu ya Tanzania (BOT) kuzisimamia Taasisi za kifedha kwa upande wa mabenki kuboresha riba katika mikopo wanayoitoa. Akizungumza Leo,Agosti 3, 2023, katika banda la BoT mara baada ya …
Waziri Kijaji ataka wenye viwanda kuzalisha bidhaa zenye ubora
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji amevitaka viwanda vyote nchini kutengeneza bidhaa zenye ubora kwa gharama nafuu ili ziweze kuingia katika soko Eneo huru la biashara Afrika (AfCFTA) Ameyasema hayo Agosti 3, 2023 alipotembea Kiwanda cha kuzalisha Maziwa…
Mradi wa ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba umeleta ajira
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati imeleta ajira na kuchangia kasi…





