Author: Jamhuri
TANAPA yafafanua vurugu mto wa Mbu zilizosababisha kifo cha mtu mmoja
Na Pamela Mollel, JamhuriMedia,Arusha Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) William Mwakilema ametoa ufafanuzi wa tukio la vurugu zilizotokea kitongoji cha Jangwani eneo la Mto wa Mbu wilayani Monduli mkoani Arusha ambazo zimesababisha mtu mmoja kupoteza…
PSSSF yatoa pole kwa waliporomoka la lift jengo la Millenium Tower Dar
Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), umetoa pole kwa waathirika wa hitilafu ya lifti iliyotokea katika jengo la Millenium Towers lililoko Makumbusho jijini Dar es Salaam. Katika taarifa iliyotolewa leo Mei 24, 2023 na Meneja Uhusiano…
Waziri Bashungwa amshukuru Rais Samia kuendelea kuzipa kipaumbele shughuli za ulinzi
Na Jacquiline Mrisho , JamhuriMedia, MAELEZO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa, amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuzipa kipaumbele shughuli za ulinzi kwa kutoa fedha kugharamia…
UVCCM yazielekeza taasisi za kifedha, sekta binafsi kushirikiana kuinua vijana
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umezielekeza Benki na taasisi nyingine za kifedha Pamoja na sekta binafsi kushirikiana moja kwa moja na Wizara ya kilimo katika kuhakikisha vijana wa kitanzania wanapata mitaji, masoko…





