JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

NMB yatangaza wadhamini NMB Marathon 2022

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar Wiki moja kabla ya kufanyika kwa Mbio za Hisani za NMB Marathon ‘Mwendo wa Upendo,’ Benki ya NMB inayoandaa mbio hizo imetangaza wadhamini zaidi ya 20, ambao wameeleza siri ya uamuzi wa kukubali kudhamini kuwa ni kuguswa…

ACT-Wazalendo: Tunahitaji mradi wa bomba la mafuta uendelee

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimelitaka Bunge la Ulaya kuondoa azimio la kutaka kusitishwa kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga. Msemaji wa Sekta ya Madini katika chama hicho, Isihaka…

Takribani watoto 800 hugundulika kuwa na saratani kila mwaka

Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo Septemba 23,2022 ameweka wazi kuwa, kila mwaka takriban watoto 800 hugundulika kuwa na ugonjwa wa Saratani nchini Tanzania hivyo kuchangia ongezeko la vifo vinavyotokana na ugonjwa huo. Waziri Ummy amesema hayo katika kikao na…

Rais Samia aidhinisha bilioni 150/- za ruzuku ya mbolea

Waziri Mkuuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameidhinisha shilingi bilioni 150 kutumika kwa ajili ya ruzuku ya mbolea ili kuwezesha upatikanaji wa bidhaa hiyo kwa wingi na kwa gharama nafuu. Majaliwa amesema katika msimu wa 2022/2023, utoaji wa…