Author: Jamhuri
Rais Samia avunja bodi ya TRC,atengeua uteuzi wa TFGA
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kufanya utenguzi katika shirika la ndege za serikali. Rais Samia amemtengua…
Makamu wa Rais katika ibada ya Pasaka
…………………………………………………………… Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 09 Aprili 2023 wameungana na waumini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska Kiwanja cha Ndege Dodoma…
Marekani yaitaka China ijizuie wakati wa mazoezi yake ya kijeshi Taiwan
China imefanya mazoezi ya kijeshi ya majini kwa siku ya pili kuzunguka Taiwan, huku hali ya wasiwasi ikiendelea kuongezeka baada ya ziara ya Rais Tsai Ing-wen nchini Marekani wiki iliyopita. Mazoezi hayo ambayo Beijing imeyaita “onyo kali” kwa Taipei –…
Watoto saba wazaliwa mkesha wa Pasaka
Watoto saba wamezaliwa katika mkesha wa Sikukuu ya Pasaka huku katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Morogoro. Hayo yamebainishwa leo Jumapili April 9, 2023 na Kaimu Afisa Mahusiano wa hospitali hiyo, Scolastika Ndunga amesema kuwa watoto saba wamezaliwa katika mkesha…
Yanga hao nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation
Yanga imetinga hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Geita Gold. Dakika 90 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0 Geita Gold na ni kipindi cha pili wameokota nyavuni bao hilo. Ni Fiston Mayele dakika ya 57…





