Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg.Abdulrahman Kinana akizungumza  na Balozi wa Brazil nchini Tanzania Mhe. Gustavo Martins Nogueira  katika Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam,Juni 21-2023.( Picha na Fahadi Siraji)