Author: Jamhuri
Waziri Mkenda afanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe Prof Adolf Mkenda jana tarehe 5 Septemba 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Waziri wa Venezuela Mhe Yuri Pimentel anayeshughulikia maswala ya Afrika. Mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa…
Ukarabati kivuko cha MV Tanga wafikia pazuri
Na Alfred Mgweno,JamhuriMedia,Tanga Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini TEMESA inaendelea na utekelezaji wa miradi ya ukarabati wa vivuko nchini ambavyo muda wake wa kukarabatiwa umefika ili viendeelee kutoa huduma vikiwa katika hali ya usalama, katika muendelezo huo,…
‘Tumieni vema msamaha kusalimisha
silaha mnazomiliki kinyume cha sheria’
Na A/INSP Frank Lukwaro,JamhuriMedia,Dodoma Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amewataka wananchi wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kutumia vyema msamaha uliotolewa na Serikali wa kipindi cha miezi miwili kusalimisha silaha haramu kwa hiari katika vituo vya…
Serikali yatangaza kikosi kazi cha ufuatiliaji utoaji mikopo ya elimu
Na Mathias Canal,JamhuriMedia,Dar Timu ya watu watano imeanza kazi rasmi leo tarehe 5 Septemba 2022 ya kufuatilia utoaji mikopo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2017/2018 hadi mwaka 2021/2022. Timu hiyo itakayofanya kazi ndani ya mwezi mmoja itaongozwa na…
Tamasha la JAMAFEST linasaidia kukuza ushirikiano wa kikanda
Na Eleuteri Mangi,JamhuriMedia,Bunjumbura Tanzania inashiriki Tamasha la Tano la Sanaa na Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (JAMAFEST) 2022 ambalo linafanyika nchini Bujumbura Burundi likiongozwa na Kaulimbiu “Kutumia Rasilimali za Kiutamaduni kukabiliana na Athari za UVIKO-19 kwa Nchi za Jumuiya…
Azam FC yapata kocha mpya anayeijua soka la Afrika
Matajiri wa jiji la Dar es Salaam kutoka Chamazi Timu ya Azam FC Mwaka huu wamedhamiria baada ya kumleta kocha mwenye Makombe huku akiwa analijua zaidi Soka la Afrika Denis Lavagne,kutoka nchini Ufaransa. Kocha huyo raia wa Ufaransa, mwenye wasifu…