Rais Samia asalimiana na wananchi Buhongwa akielekea Busisi kukagua daraja la Magufuli
JamhuriComments Off on Rais Samia asalimiana na wananchi Buhongwa akielekea Busisi kukagua daraja la Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Wananchi wa Buhongwa Wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza alipokuwa njiani akielekea Busisi kwa ajili ya kukagua Maendeleo ya Ujenzi wa Daraja tarehe 14 Juni, 2023.