Author: Jamhuri
Waziri Aweso ataka mtandao wa maji kuongezwa Buswelu
Na Mohamed Saif,JamhuriMedia Waziri wa Maji Jumaa Aweso (Mb) ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) kuanza mara moja kuongeza mtandao wa usambazaji maji Kata ya Buswelu Wilayani Ilemela Mkoani Mwanza. Ametoa maelekezo hayo Februari 4, 2023…
Pwani yafanikiwa kupunguza tatizo la udumavu, utapiamlo
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Mkoa wa Pwani umekuwa mkoa wa sita kati ya mikoa 26 katika masuala ya lishe, ikiwa ni hatua nzuri ya kupunguza tatizo la udumavu , utapiamlo hususan kwa watoto. Akizungumza katika kikao Cha lishe kimkoa ,Mkuu wa…
Rais Mwinyi:Kituo cha upandikizaji mimba Kairuki Green IVF kupunguza changamoto ya ugumba nchini
Na WAF-Dar es Salaam Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Kituo cha Huduma za Upandikizaji Mimba Kairuki Green IVF, Bunju kitatatua changamoto ya Watanzania kwenda nje ya nchi kwa gharama kubwa kufata huduma…
Wadakwa wakitengeneza pombe bandia Arusha
Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema katika kuhakikisha linalinda raia na mali zao pia katika kuunga juhudi za serikali ya kuhakikisha raia wake wanakuwa salama kiafya tarehe 04.februari 2023 muda wa saa…
Polisi Shinyanga yawadaka waliopora kwenye mradi wa SGR
Polisi Mkoani Shinyanga imefanikiwa kuwakamata watuhumiwa tisa wanaohisiwa kuhusika na tukio la ujambazi katika kambi ya Wachina wanaojenga mradi wa ujenzi wa Reli ya Mwendokasi (SGR) na kupora vitu mbalimbali ikiwemo bunduki na fedha mbalimbali za kigeni. Kamanda wa Jeshi…





