JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali:Sanaa yetu inachangia kuitangaza nchi kimataifa

Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbasi amesema sekta ya Sanaa inamchango kubwa katika kuitangaza nchi kimataifa kupitia kazi za Sanaa zinazofanywa na Wasanii. Dkt. Abbasi amesema hayo Novemba 12, 2022 wakiwa katika ziara ya kutembelea…

CCM yawateua hawa kugombea nafasi za uongozi Taifa,Mkoa

Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC) imekutana kikao cha kawaida Jumapili 13 Novemba, 2022 chini ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Makao Makuu ya Chama, Dodoma….

EWURA: Watanzania tembeleeni RUAHA mjionee

Na Mwandishi Wetu,Iringa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Leo 11 Nov 2022, wamezuru Hifadhi ya Wanyama Ruaha kujionea vivutio mbalimbali na kuchangia ukuaji wa mapato yatokanayo na utaliinchini. Wajumbe…

HESLB yafungua dirisha la rufaa kwa siku saba kwa waombaji mikopo

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza leo (Jumapili, Novemba 13, 2022) imetangaza kufunguliwa kwa dirisha la rufaa ili kutoa fursa kwa wanafunzi ambao hawakuridhika na viwango vya mikopo walivyopangiwa kuwasilisha taarifa za uthibitisho ili kuongezewa…

Sakho aifikishia Simba pointi 21

Baada ya kutoka sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Big Star jana,timu ya Simba SC iliibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam. Simba ilipata bao la ushindi…

Serikali kuchukua jitiahada za karibu, usawa wa kijinsia

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo Ya Jamii,Jinsia,Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Zainab Chaula amesema Serikali imeendelea kuweka jitihada mbalimbali zitakazoleta usawa wa kijinsia katika jamii kwa uharaka zaidi. Dkt. Chaula ameyasema hayo katika kikao Kazi kilichojumuisha Wakurugenzi wa Sera…