Author: Jamhuri
Wananchi Monduli waomba uzio kulinda vyanzo vya maji
Mwandishi wetu,JamhuriMedia,Monduli Wananchi wa Kata ya Selela na Engaruka wilayani Monduli mkoa Arusha,wameomba serikali kuwasaidia kuweka uzio katika vyanzo vya maji vya asili katika maeneo yao ili visiendelee kuharibiwa na wanyamapori. Kata hizo zina vyanzo vya maji vya asili ambazo…
SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI
‘Tusubiri maoni,mapendezo juu ya marekebisho ya Sheria na Kanuni’ Na Rais Samia Suluhu Hassan Mwaka 2007, Mkutano Mkuu wa Umoja wa Mataifa ulifanya uamuzi wa kuzitaka nchi duniani kuadhimisha siku ya Demokrasia kila ifikapo tarehe 15 Septemba, ya kila mwaka….
Mifugo vamizi changamoto ya uhifadhi nchini
Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),tarehe 14 Septemba 2022 imefanya ziara ya kutembelea Hifadhi ya Taifa Ruaha mkoani Iringa kujionea athari za uvamizi wa mifugo katika eneo la Bonde la Ihefu . Katika ziara hiyo,…
Rais Samia amlilia DED wa Igunga
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga (DED), Fatma Omar Latu pamoja na dereva wake.
Serikali yatangaza mlipuko wa surua,wagonjwa 54 wathibitika
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dodoma Waziri Wa Afya Ummy Mwalimu, amethibitisha kuibuka kwa ugonjwa wa surua lubela nchini na kubainisha kuwa mpaka sasa wataalamu wamebaini wagonjwa 54 kutoka mikoa mbalimbali. Hayo ameyasema leo Septemba 15,2022 jijini Dodoma, wakati akizungumza na waandishi wa…
Jamii yatakiwa kuondokana na imani potofu juu ya kifua kikuu
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Katavi Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imeendelea na zoezi la uhamasishaji wananchi juu ya upimaji wa kifua kikuu ili kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo hasa kwa watoto wadogo walio na umri chini ya miaka mitano. Akizungumza katika mkutano…