Author: Jamhuri
Afrika yashauriwa kujenga mfumo imara wa ugavi wa kilimo
Wajumbe katika mkutano wa Uongozi wa Bara la Afrika wamezitaka nchi za Afrika kujenga mfumo imara wa ugavi wa thamani kwa kilimo kwa sababu sekta hiyo inatoa fursa bora ya kuongezeka kwa biashara ndani ya Afrika. Viongozi na washiriki wengine…
Kifo cha mwanamuziki nguli wa Kimarekeni Tina Turner chawaliza wengi
Mwanamziki nguli wa Kimarekani, Tina Turner aliyeutumbuiza ulimwengu kwa miongo mingi amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 83.nyumbani kwake Zurich Switzerland. Turner ambaye alifahamika kama Malkia wa muziki wa Rock and Roll, alifariki jana nyumbani kwake karibu na mji…
Jumuiya ,Taasisi za Kiislamu zataka sheria ya ndoa izungumzwe ngazi ya jamii
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania zimeshauri swala la sheria ya ndoa lisifikishwe bungeni na badala yake libaki kwenye majadiliano ngazi ya jamii kwa kuwa linagusa Imani za dini na sio la kisiasa. Katibu wa…
Waliohitimu kidato cha sita 2023 waitwa JKT
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limewataka wahitimu wa kidato cha sita waliohitimu elimu ya Sekondari kwa mwaka 2023 kutoka shule zote za Tanzania Bara kuhudhuria mafunzo ya JKT kwa Mujibu wa Sheria kwa mwaka 2023….
‘Vifo vilivyohusisha ulaji nyama ya ng’ombe Rombo havihusiani na Kimeta’
Serikali imesema vifo vya watu wawili vilivyotokea kwa ulaji wa nyama kwenye kijiji cha Msaranga kilichoko Kata ya Kisale, Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mei 4 mwaka huu havihusiani kabisa na ugonjwa wa kimeta. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa…





