Author: Jamhuri
Samatta asiandike tu historia
Mpaka utakapokuwa unasoma makala hii kuna uwezekano mkubwa kuwa Mbwana Samatta atakuwa tayari amekwisha kuwa mchezaji rasmi wa Aston Villa inayoshiriki Ligi Kuu nchini Uingereza (EPL). Anakuwa mmoja wa wachezaji ambao wamenufaika na dirisha dogo la usajili katika Bara la…
Diamond ‘amkaanga’ Dk. Kigwangalla
Wakati sakata la Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla la matumizi mabaya ya madaraka likiendelea kushika kasi, msanii Abdul Nassib (Diamond) ‘amemkaanga’ waziri huyo kupitia kwa meneja wake, Hamisi Taletale (Babu Tale). Taletale amezungumza na JAMHURI na kuanika…
Kituko tovuti ya BoT
Mpita Njia (MN) anakumbuka miaka ile ya enzi zao watu waliofanya kazi Benki Kuu ya Tanzania (BoT) walionekana kama vile ni wateule wa Mungu. Walionekana wateule kwa sababu mazingira, aina ya kazi na mishahara yao viliwafanya wengi waamini kuwa hakuna…
Mauaji ya wanawake yatikisa Arusha
Kwa muda wa miezi miwili sasa Jiji la Arusha na vitongoji vyake limetikiswa na mauaji ya wanawake. Katika kipindi hicho zaidi ya wanawake kumi wameuawa baada ya kubakwa, kisha kunyongwa. Kwa mujibu wa watu walioshuhudia maiti za wanawake hao, nyingi…
Wapinzani wataweza kuungana 2020?
Ingawa vyama vya ACT-Wazalendo, NCCR-Mageuzi na CUF kwa nyakati tofauti vimebainisha haja ya vyama vya upinzani kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, hilo bado linaonekana kuwa jambo lililo mbali sana kuafikiwa. Hiyo inatokana na…
Yanahitajika Mapinduzi mengine Zanzibar
Asubuhi ya Januari 12, 1964, sultani wa Kiarabu na watu wake Zanzibar waliingiwa mshangao pale Waafrika ambao hadi wakati huo walionekana na kudhaniwa kuwa ni dhaifu, walipovamia kasri lake kumwondoa madarakani. Mshangao huo uliwapata pia baadhi ya Waafrika ambao waliaminishwa…