JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Netanyahu aomba huruma ya Bunge

Waziri Mkuu wa Israel anayekabiliwa na mashitaka mahakamani, Benjamin Nentanyahu, ameliomba Bunge kumpa kinga ya kutoshitakiwa katika kesi tatu za rushwa zinazomkabili. Hii ni hatua ambayo haijawahi kuchukuliwa na kiongozi yeyote wa Israel na wanaharakati wameipinga wakisema inazuia usawa mbele…

Karibu 2020, tumejiandaaje?

Toleo la leo ni la kwanza kwa mwaka 2020. Mwaka 2000 tukiwa Buruguni eneo la Sewa, nilikuwa na marafiki zangu kadhaa. Baadhi Mungu amewapenda zaidi, ila wengi bado tupo. Zilivuma taarifa kuwa mwaka 2000 ulikuwa mwisho wa dunia.  Wakati huo…

TRA yaanzisha mnada kwa njia ya mtandao

Watu ambao wanapenda kushiriki mnada kwa njia ya mtandao utakaokuwa unaendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ni lazima wawe na simu ya mkononi au kompyuta mpakato iliyounganishwa na intaneti. Hayo yamebainishwa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na…

Huawei yajitutumua licha ya kubanwa na vikwazo

Licha ya vikwazo inavyowekewa na Marekani, Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Huawei ya China imepata mafanikio makubwa katika biashara zake mwaka uliopita. Taarifa kutoka ndani ya kampuni hiyo ambayo inajulikana kwa kutengeneza simu za mkononi, mapato yake yamekua huku…

Utajiri wa Dangote wazidi kupaa

Tajiri namba moja barani Afrika, Aliko Dangote, ameuaga mwaka 2019 kwa kuongeza zaidi utajiri wake kwa dola bilioni 4.3 za Marekani. Dangote, mwenye umri wa miaka 62, raia wa Nigeria ni mfanyabiashara anayemiliki viwanda kadhaa barani humo, alikuwa na utajiri…

Fausta amekufa, ametuachia urithi gani?

Ulikuwa unafahamu kuwa faru Fausta, ambaye alifariki dunia mwishoni mwa mwezi uliopita ndiye alikuwa faru mwenye umri mkubwa kuliko wote duniani?  Kama haukuwa ukifahamu hivyo, basi haupo peke yako. Maelfu ya Watanzania wameonyesha kushangazwa kwao na taarifa kuwa faru Fausta…