Author: Jamhuri
Mkapa amekiri jinai, Katiba inamlinda (2)
Wiki mbili zilizopita niliandika juu ya Kitabu alichoandika Rais (mstaafu), Benjamin Mkapa kiitwacho “Maisha Yangu, Dhamira Yangu: Rais Mtanzania Akumbuka.” Nilijadili mada ya ununuzi wa nyumba/jengo la Ubalozi wa Tanzania nchini Italia. Niligusia maelezo ya Rais Mkapa aliyekwenda mahakamani kutoa…
Deni la taifa lakua Oktoba
Deni la nje la taifa ambalo linahusisha deni la serikali na deni la sekta binafsi, lilikua na kufikia dola milioni 22,569.4 za Marekani ilipofika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu, Benki Kuu (BoT) imeeleza. Taarifa ya Uchumi kwa Mwezi iliyotolewa…
Bei za vyakula zapandisha mfumko wa bei
Kupanda kwa bei za vyakula kumesababisha kupanda kwa kiasi kwa mfumko wa bei, Benki Kuu (BoT) imeeleza katika ripoti yake ya hali ya uchumi kwa mwezi Oktoba. Ripoti hiyo ambayo imetolewa mwezi uliopita inaonyesha kuwa mfumko wa bei kwa mwaka…
Atatokea mhubiri mwingine kama Bonnke?
Mwanzoni mwa mwezi Desemba Shirika lijulikanalo kama Christ for All Nations (Kristo kwa Mataifa Yote) lenye makao yake makuu jijini Orlando, Florida nchini Marekani lilitangaza kuwa Mchungaji Reinhard Bonnke amefariki dunia. Mchungaji Bonnke atakumbukwa kwa kazi yake kubwa ya kueneza…
Ndugu Rais, 2020 tunahitaji busara zaidi badala ya nguvu
Ndugu Rais, leo tunaufunga mwaka 2019 kama unafungika. Na kesho tunaufungua mwaka 2020 kama utafunguka. Wanaosema ni mwaka mpya, watuonyeshe basi upya wake. Siku ni zilezile hazibadiliki. Wiki ni zilezile wala hazina maboresho. Miezi nayo inabaki ileile kumi na miwili…
Mtume Muhammad (S.A.W) kinara wa utunzaji wa mazingira
Mazingira yanajumuisha, kwa mujibu wa Uislamu, vyote vinavyomzunguka mwanadamu, akiwa ni msimamizi. Ni neema kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu inayostahili kuenziwa na kutunzwa ikiwa ni sehemu ya kuonyesha shukrani zetu kwa Mwenyezi Mungu kwa neema hizi zisizo na mfano. Kama…