Author: Jamhuri
Uwanja mpya wa Geita Gold FC mbioni kukamilika
UWANJA wa Magogo unaojengwa na Halmashauri ya Mji wa Geita kwa kushirikiana na Kampuni ya Geita Gold Mine Limited , unatarajiwa kukamilika mwezi Mei mwaka huu. Hayo yamebainishwa hivi karibuni mjini Geita na Makamu wa Rais wa AngloGold Ashanti anayeshughulikia…
Chongolo aanza ziara Morogoro,agusia migogoro ya wakulima na wafugaji
…………………………………………………………. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi leo Januari 28 mkoani Morogoro huku akitumia nafasi hiyo kueleza sababu za kufanya ziara hiyo ndani ya mkoa huo. Aidha amesema pamoja na mambo mengine anatambua mkoa…
‘Wataalamu watakiwa kuitumia nchi kwa uwelezi na uzalendo’
Na Mwandishi Wetu,WHMTH,Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt.Jim Yonazi ametoa rai kwa wataalamu 79 waliohitimu mafunzo ya uendeshaji wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano yaliyotolewa na Kampuni ya HUAWEI Tanzania kuhakikisha wanalitumikia Taifa kwa…
Nyerere:Kila mwananchi anatakiwa kupanda mti na kuutunza
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amewataka wakuu wa wilaya, wakurugenzi pamoja na wakuu wa idara za mazingira kila mmoja kuhakikisha miti inapandwa kama muongozo unavyoelekeza. Hayo ameyasema wakati wa uzinduzi wa zoezi la upandaji miti mkoani hapa na…
‘Mwaka 2030 utakuwa ukomo magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele’
Na WAF – Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Afya inaendeleza juhudi za ugawaji wa dawa na matibabu kwa wagonjwa wa magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele ili ifikapo 2030 magonjwa hayo yaweze kutokomezwa. Hayo yamesemwa leo na Meneja Mpango Wa Magonjwa yaliyokuwa…





